Utaalamu unaowajibika
Mapendekezo na huduma za mwisho hupitiwa na binadamu.
10×ThinkExpert PlatformJukwaa la Wataalamu la 10×Think
10×Think inaunganisha utaalamu wa kibinadamu na nguvu ya AI kusaidia watu, biashara na taasisi kupata suluhisho na matokeo yanayopimika.
KWA NINI 10×THINK
Mapendekezo na huduma za mwisho hupitiwa na binadamu.
Teknolojia huongeza kasi bila kuondoa uamuzi wa kitaalamu.
Ona oda, malipo, nyaraka na maendeleo sehemu moja.
Wasifu na huduma hupitiwa kabla ya kuunganishwa na mteja.
KITUO CHA AJIRA CHA 10×THINK
Uchambuzi wa nafasi, kutafuta waombaji, uchujaji, tathmini, usaili wenye muundo, uhakiki na ripoti ya orodha fupi.
Tuma ombi la kuajiriTathmini ya taaluma, ukaguzi wa wasifu wa kazi, maombi yanayolenga kazi, mazoezi ya usaili na ushauri wa kuziba mapengo ya ujuzi.
Omba ushauri wa kitaalamuFURSA ZA AJIRA
Nafasi mpya zilizohakikiwa zitaonekana hapa.
Fungua Kituo cha Ajira10×THINK SOLUTIONS
Msaada wa kuajiri kwa waajiri, ushauri wa taaluma, ukaguzi wa wasifu wa kazi na maandalizi ya usaili.
Angalia hudumaMawasiliano, uongozi, ujuzi wa AI, tathmini na mafunzo mubashara.
Angalia hudumaUchunguzi wa shirika, utamaduni, usimamizi wa mabadiliko na ushiriki wa wafanyakazi.
Angalia hudumaMafunzo ya AI, ufafanuzi wa biashara, utambulisho wa biashara na tija ya kidijitali.
Angalia hudumaAfya na ustawi, sheria, ujenzi, elimu, biashara na huduma nyingine kupitia wataalamu waliopitiwa.
Angalia huduma
10×THINK KWENYE SIMU YAKO
ZANA ZA BURE ZA 10×THINK
Checklist ya point 10 ya kukagua CV kabla ya kutuma.
Maswali 8 ya kujifanyia mazoezi kabla ya interview.
Zoezi la hatua 4 la kutambua mwelekeo wa kazi.
Maswali 8 ya kuona maeneo yanayohitaji OD.
Mfumo rahisi wa kuandika maelekezo bora kwa AI.
HOW IT WORKS
ORGANIZATION DEVELOPMENT
10×Think huunganisha uchambuzi wa kitaalamu, data na uongozi wa mabadiliko ili kutatua changamoto za watu, mifumo na utendaji.
Omba mazungumzo ya awali10×THINK • COMMUNITY & VOLUNTEER
MWANZILISHI WA 10×THINK
Mhadhiri na mtaalamu mwenye Shahada ya Uzamili katika Isimu na uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika ufundishaji na ulezi wa kitaaluma kwenye elimu ya juu. Anaunganisha mawasiliano, ujifunzaji na maendeleo ya mashirika kusaidia watu na mashirika kupata matokeo yanayopimika.
“Dira yangu ni kuifanya 10×Think kuwa daraja la kuaminika kati ya jamii, maarifa na wataalamu.”
Fungua akaunti yako au zungumza nasi WhatsApp ili tukuelekeze.